week iliyopita kampuni inayomsimamia Alikiba ‘Rockstar 4000′ ilitangaza
ujio wa collabo kati ya Alikiba na msanii wa Marekani, Ne-yo . Siku ya
jana Ne-yo alitua jijini Nairobi, Kenya kwa ajili ya Coke studio na hatimaye amekutana na Alikiba na wasanii wengine kutoka Nigeria,Mozambique,Kenya na Uganda. |
No comments:
Write comments